Msaada: Malipo ya NACTE confirmation message haiji

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Nimelipa ada ya kufanya registration NACTE ya kujiunga na vyuo. Confirmatiom msg haiji. Nifanyeje.
 
Nimelipa ada ya kufanya registration NACTE ya kujiunga na vyuo. Confirmatiom msg haiji. Nifanyeje.
Chamsingi tuu apo nikuwapigia NACTE au kama utaona ni usumbuf tufanye iv m nina confirmation code mbili moja nimetumia kuapply nyingine bado mana nilijichanganya nikalipia Mara mbili
 
Back
Top Bottom