masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,798 Reaction score 16,812 Dec 22, 2014 #41 aiseee WANAUME KAMA WEWE MNAITAJI MAGAZINE AU AK47 NAMUONEA HURUMA HUYO BINTI MAANA NADHANI ALIYAONA MENGI YASIYOENDANA ILA alii ignore
aiseee WANAUME KAMA WEWE MNAITAJI MAGAZINE AU AK47 NAMUONEA HURUMA HUYO BINTI MAANA NADHANI ALIYAONA MENGI YASIYOENDANA ILA alii ignore
J junnyx Member Joined Dec 13, 2014 Posts 36 Reaction score 3 Dec 22, 2014 #42 Mmmm, hta maji machafu yanazima moto
angelita JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 3,017 Reaction score 2,445 Dec 22, 2014 #43 kbmk said: Kabisaaaa aoe huyo huyo watakaje tena? ndomana m sipend wangu akae mbali nami mambo haya haya vumiliki Click to expand... Mtu akiamua kuchepuka anachepuka tu, hata uwe unazunguka nae siku nzima.
kbmk said: Kabisaaaa aoe huyo huyo watakaje tena? ndomana m sipend wangu akae mbali nami mambo haya haya vumiliki Click to expand... Mtu akiamua kuchepuka anachepuka tu, hata uwe unazunguka nae siku nzima.
ngosha mchele Member Joined Dec 7, 2014 Posts 71 Reaction score 40 Dec 22, 2014 #44 Usikatae mtoto rafiki utajitengenezea laana ya baadae, chakufanya mwambie ukweli mchumba wako usikie atasema nini
Usikatae mtoto rafiki utajitengenezea laana ya baadae, chakufanya mwambie ukweli mchumba wako usikie atasema nini
M martha ngailo Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Dec 23, 2014 #45 oa tu huyo wa kitambo haikua yake ungekuwa unampenda kweli usingemchit mwambie ukweli usiendelee kumpotezea muda
oa tu huyo wa kitambo haikua yake ungekuwa unampenda kweli usingemchit mwambie ukweli usiendelee kumpotezea muda
alohadm JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 360 Reaction score 157 Dec 23, 2014 #46 shit on you!!! damu yako ukaitoe?mwendawazimu wewe na hujielewi kabisa,tutakufungulia kesi ya kupanga kuua kwa kukusudia!!! die in hell
shit on you!!! damu yako ukaitoe?mwendawazimu wewe na hujielewi kabisa,tutakufungulia kesi ya kupanga kuua kwa kukusudia!!! die in hell
kbmk JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 776 Reaction score 158 Dec 25, 2014 #47 Lakini yy kasha sema sababi wake yupo mbali ndo mana kachukua kabinti na kuhusu upo nae ana chepuke huyo hayupo serious na anachokifanya angelita said: Mtu akiamua kuchepuka anachepuka tu, hata uwe unazunguka nae siku nzima. Click to expand...
Lakini yy kasha sema sababi wake yupo mbali ndo mana kachukua kabinti na kuhusu upo nae ana chepuke huyo hayupo serious na anachokifanya angelita said: Mtu akiamua kuchepuka anachepuka tu, hata uwe unazunguka nae siku nzima. Click to expand...