kaka hapo huna choice jipange kulea kama Mimi.hiyo imenitokea pia hivo hivo nilikua nataka kupita ooh nikaona mwez mmoja baadae bint Mara maembe mabich,Mara ukwaju Mara malimao nikasema tayari.nilichokifanya sikupanic bro nikakubaliana na hali halisi ninae mpaka sahiz bint mimba ina miezi mitano broo.kubali matokeo broo
Kabisaaaa aoe huyo huyo watakaje tena? ndomana m sipend wangu akae mbali nami mambo haya haya vumiliki
duh mtihan sana..
kwani akiwa karibu ndo hachepuki?
Ha ha ha ncheke kama mazuri, kuna watu wanakatiwa viuno nite nzima utadhan wameoa wanenguaji,wanalala wameloeka, asubuhi wanaagana na mabusu bye hny baadae...na mchana wake wanacheat nnachokisema am 100% sure!!! kama mwenzio yupo hivo ni wa hivo tu usidanganyike na ukaribu wala umbaliUna decrease probability c kasha kwambia mtoa post alichukua kabint kwasababu gn? kwan angekua nae mwenzie angefanya hayo?
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jaman jaman