ICT_student_TZ
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 392
- 175
Nimecheck specs za original Nokia n7 plus haziendani na hii simu..simu nilio nayo INA removable Betty og INA betri LA ndan..simu nilionayo haina fingerprint security og inayo..nilionayo made in China og haitoki China.Huwezi flash fake kwa original firmware
Umejuaje ni fake?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Download app inaitwa cpu z tuone data muhmu za hyo simNimecheck specs za original Nokia n7 plus haziendani na hii simu..simu nilio nayo INA removable Betty og INA betri LA ndan..simu nilionayo haina fingerprint security og inayo..nilionayo made in China og haitoki China.
Ulifanikiwa?Lengo LA Kuflash in kwamba simu ilifutwa systeam file haimalizi kuwaka kwaio nashindwa kuangalia specs za simu kwa kutumia app ndo mana hata specs nilizotoa nimechek kwa nje tu.
Niliachana nayoo mkuu..Ulifanikiwa?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ndo nmeona leo quote yako..basi siku ukiwa na mzuka nayo jarbu ku read infoNiliachana nayoo mkuu..
.nmesubir post yako kimyaa.
Sawa ila ungeongezea nyama post yako nielewe zaidi.unge read info ktk sift za mtk, ungejua ni hiyo model gani, hayo yanakuwaga ma youtong
Nina maana ungekuwa unatumia software kama Cm2mtk ama researcher downloader, au cm2spd ungejua kama ni la kichina na ungejua cpu yake ni model gani ndipo utafute firmware yake, cm za kichina baadhi zinaingiliana firmwareSawa ila ungeongezea nyama post yako nielewe zaidi.
Nina maana ungekuwa unatumia software kama Cm2mtk ama researcher downloader, au cm2spd ungejua kama ni la kichina na ungejua cpu yake ni model gani ndipo utafute firmware yake, cm za kichina baadhi zinaingiliana firmware
unge read info ktk sift za mtk, ungejua ni hiyo model gani, hayo yanakuwaga ma youtong
Angalia imei number mkuu, then nenda Google ukaangalie Ni za simu og au fakeMkuu kuna Techno w3 nimeiflash stock firmware nimefanikiwa tatizo haisomi minara ya sim inaonesh contacts list tu! Nahitaji msaada kaka.
Nimecheki imei numb ni zile zile mkuuAngalia imei number mkuu, then nenda Google ukaangalie Ni za simu og au fake
Then Kama nitachelewa kuona reply nakushaul utafute MTK engineer mode itakusaidia katika kuingiza imei namba
Make sure namba ya IMEI itayo display katika kioo chako Cha simu ni sawa na ile iliyoko nyuma kwenye mfuniko wa beteri
Angalia imei number mkuu, then nenda Google ukaangalie Ni za simu og au fake
Then Kama nitachelewa kuona reply nakushaul utafute MTK engineer mode itakusaidia katika kuingiza imei namba
Make sure namba ya IMEI itayo display katika kioo chako Cha simu ni sawa na ile iliyoko nyuma kwenye mfuniko wa beteri
Kwa pc nawezekana sjui simuInawezekana kuongeza ukubwa wa RAM kwenye simu na computer?
Sawa mkuuKwa pc nawezekana sjui simu