MSAADA:MAFUNDI SIMU UPANDE WA SOFTWARE.

Z1LNUX_P01S0N

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
394
250
Habari zenu wakuu.
Naombeni msaada.
Nipo na simu hapa nahitaji kuiflash stock rom (stock firmware) bila box.

Aina ya simu in Nokia N7 plus,lakini nilivoichunguza inaonekana ni fake..sio Nokia yenyewe.

Je nikiflashi stock firmware was Nokia N7 plus itakaa?
 
kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
7,311
2,000
Huwezi flash fake kwa original firmware

Umejuaje ni fake?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Z1LNUX_P01S0N

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
394
250
Huwezi flash fake kwa original firmware

Umejuaje ni fake?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nimecheck specs za original Nokia n7 plus haziendani na hii simu..simu nilio nayo INA removable Betty og INA betri LA ndan..simu nilionayo haina fingerprint security og inayo..nilionayo made in China og haitoki China.
 
kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
7,311
2,000
Nimecheck specs za original Nokia n7 plus haziendani na hii simu..simu nilio nayo INA removable Betty og INA betri LA ndan..simu nilionayo haina fingerprint security og inayo..nilionayo made in China og haitoki China.
Download app inaitwa cpu z tuone data muhmu za hyo sim

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Z1LNUX_P01S0N

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
394
250
Lengo LA Kuflash in kwamba simu ilifutwa systeam file haimalizi kuwaka kwaio nashindwa kuangalia specs za simu kwa kutumia app ndo mana hata specs nilizotoa nimechek kwa nje tu.
 
kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
7,311
2,000
Lengo LA Kuflash in kwamba simu ilifutwa systeam file haimalizi kuwaka kwaio nashindwa kuangalia specs za simu kwa kutumia app ndo mana hata specs nilizotoa nimechek kwa nje tu.
Ulifanikiwa?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,522
2,000
Sawa ila ungeongezea nyama post yako nielewe zaidi.
Nina maana ungekuwa unatumia software kama Cm2mtk ama researcher downloader, au cm2spd ungejua kama ni la kichina na ungejua cpu yake ni model gani ndipo utafute firmware yake, cm za kichina baadhi zinaingiliana firmware
 
Z1LNUX_P01S0N

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
394
250
OK inamaa nitafute firmware ya cm ya kichina yyte inayoendana na specs za simu yangu?
Nina maana ungekuwa unatumia software kama Cm2mtk ama researcher downloader, au cm2spd ungejua kama ni la kichina na ungejua cpu yake ni model gani ndipo utafute firmware yake, cm za kichina baadhi zinaingiliana firmware
 
Z1LNUX_P01S0N

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
394
250
Mkuu kuna Techno w3 nimeiflash stock firmware nimefanikiwa tatizo haisomi minara ya sim inaonesh contacts list tu! Nahitaji msaada kaka.
unge read info ktk sift za mtk, ungejua ni hiyo model gani, hayo yanakuwaga ma youtong
 
King Elly

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,126
2,000
Mkuu kuna Techno w3 nimeiflash stock firmware nimefanikiwa tatizo haisomi minara ya sim inaonesh contacts list tu! Nahitaji msaada kaka.
Angalia imei number mkuu, then nenda Google ukaangalie Ni za simu og au fake

Then Kama nitachelewa kuona reply nakushaul utafute MTK engineer mode itakusaidia katika kuingiza imei namba

Make sure namba ya IMEI itayo display katika kioo chako Cha simu ni sawa na ile iliyoko nyuma kwenye mfuniko wa beteri
 
Z1LNUX_P01S0N

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
394
250
Angalia imei number mkuu, then nenda Google ukaangalie Ni za simu og au fake

Then Kama nitachelewa kuona reply nakushaul utafute MTK engineer mode itakusaidia katika kuingiza imei namba

Make sure namba ya IMEI itayo display katika kioo chako Cha simu ni sawa na ile iliyoko nyuma kwenye mfuniko wa beteri
Nimecheki imei numb ni zile zile mkuu
 
Z1LNUX_P01S0N

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
394
250
Najaribu kuiflash tena hapa nione itakuaje?
Angalia imei number mkuu, then nenda Google ukaangalie Ni za simu og au fake

Then Kama nitachelewa kuona reply nakushaul utafute MTK engineer mode itakusaidia katika kuingiza imei namba

Make sure namba ya IMEI itayo display katika kioo chako Cha simu ni sawa na ile iliyoko nyuma kwenye mfuniko wa beteri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom