Msaada: Mafundi Laptop Na Simu Nitapata Wapi Hiki Kifaa (DC Power Supply)

kansinsi

Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
76
Reaction score
11
Mafundi naomba Msaada wenu SIM yangu imezima yenyewe tu aina y'a Samsung not edge je nifanyeje
 
Kichwa cha mada hakiendani na yaliyomo. Anyway BENCH POWERSUPPLY zinapatikana kwa wanouza vifaa na spea za electronics. Nimeona Rework stations ambazo zinakuja na adjustable psu kwaajili ya shughuli za electronics 0v to 30v kama hivyo.
 
Vioo vya A9 PRO 16
S5
naweza kupata kwa bei gani??
kama unajua nipe tafu
 
Back
Top Bottom