Msaada: Mafao ya PSPF

Msaada: Mafao ya PSPF

ntahagaye

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
92
Reaction score
19
Mimi nilikuwa mwalimu serikalini, nimefukuzwa kazi kutokana na utoro kazini. Kwa kipindi kirefu nilikuwa mwanachama wa mfuko wa pension wa PSPF nimechangia miezi arobaini.

Je, watanilipa pesa zangu? Na culculation inakuaje? Maana naambiwa kama nimefukuzwa kazi silipwi, msaada jamani.
 
Hizo ni haki zako lazima ulipwe cha msingi uwe na barua ya kusimamishwa kazi..nenda nayo ofisi yoyote ya pspf watakupa mwongozo zaidi
 
Pesa iliyoko kwenye mfuko wa jamii ni yako hata kama umefukuzwa kazi.

Nadhani tatizo linaweza kuwa kwenye pension yako ya ustaafu, huko mkuu kuna uwezekano ukawa umeliwa
 
Mimi nilikuwa mwalimu serikalini, nimefukuzwa kazi kutokana na utoro kazini. Kwa kipindi kirefu nilikuwa mwanachama wa mfuko wa pension wa PSPF nimechangia miezi arobaini.

Je, watanilipa pesa zangu? Na culculation inakuaje? Maana naambiwa kama nimefukuzwa kazi silipwi, msaada jamani.

Umefanya kazi miaka 3 tu ukaanza utoro hadi kufukuzwa!!!

Ulitoroka ukaenda wapi? Kufanya nini??

Nenda PSPF na barua yako ya kufukuzwa kazi, watakulipa fao la kujitoa!!
 
Mimi nilikuwa mwalimu serikalini, nimefukuzwa kazi kutokana na utoro kazini. Kwa kipindi kirefu nilikuwa mwanachama wa mfuko wa pension wa PSPF nimechangia miezi arobaini.

Je, watanilipa pesa zangu? Na culculation inakuaje? Maana naambiwa kama nimefukuzwa kazi silipwi, msaada jamani.

Jibu rahisi

Utarejeshewa michango yako yote uliyochangia na ile aliyochangia mwajiri kwa miezi yote 40

Hyo formula
Employee contr + employee contr

Ila ni lazima uwe na barua ya kufukuzwa kazi

Kwa maelezo zaidi tembelea ofs zozote za pspf
 
Je mtu aliyefukuzwa kazi kwa kosa la rushwa anaweza kulipwa mafao yake?
 
Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa! Si mimi bali neno la Mungu
 
Back
Top Bottom