Msaada mafaili hayaonekani katika external HDD

Msaada mafaili hayaonekani katika external HDD

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
Niliweka external katika PC yenye virus, mafaili yakaliwa, baadae nilioscan na kaspersky yakarudi baadhi tu tena yamekaa katika file moja limeandikwa Trashes, kisha kukawa na file.lingine limeandikwa Recycle.bin. Sasa ukiangalia katika space unaona external iko vile vile.kama.mwanzo kabla haijaathirika lakini mafile hayaonekano.

Nimejaribi kuscan kwa smadav kuona hidden sijafanikiwa.

Nikajaribu njia ya attrib -h -r -s /s /d H:\*.* sijafanikiwa pia.

USB show, sijafanikiwa pia.

Naomba msaada wenu wakuu nifanyaje? Maana kuna files muhimu.

Asanteni
 
Tafuta PC yenye ubuntu ama linux yeyote mafile yataonekana, copy pembeni format disk halafu yarudishe.
 
Back
Top Bottom