Msaada Maduka Ya Gym Weight Sets

Msaada Maduka Ya Gym Weight Sets

Prof Griff

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
6,771
Reaction score
5,266
Anayejua maduka ya vifaa vya mazoezi vya bei poa haswa benchi na vyuma vya mazoezi vya kisasa Dar es Salaam tafadhali nifahamishe.

Natanguliza shukrani.
 
Ukikosa kabisa nenda Game/Shoprite Mlimani City. Kwenye suala ls "bei poa" sana sina uhakika kama ile pale inareflect actual market price.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom