msaada madirisha ya alluminium | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada madirisha ya alluminium

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by aspen, Dec 11, 2011.

 1. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wandugu naweza wapi kupata madirisha ya alluminium na bei zao kwa mkoani arusha natanguliza shukhrani
   
 2. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  nenda pale matongee kabla haujafika haujaingia ndan pale nje utayakuta,
  au kama hapo mtashindana nenda pale nane nane.
   
 3. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kinachoniboa madirisha haya,sijui ni mafundi au hizi materials ni feki,kwani huwa lazima yaache nafasi kati ya sliders za vioo na ya mbu.......ila nimeona duka moja hapa hapa Arusha linaitwa PCP mtaa wa sokoine wa micro PVC imetulia kwakweli kwenye ilo tatizo wamelitatua.But microPVC are not best in xtreme temperartures.
   
Loading...