paramawe Senior Member Joined Apr 13, 2013 Posts 151 Reaction score 24 Feb 8, 2016 #1 Habari! Naomba wa msaada wa anaejua wapi naweza kupata au kuchongesha mashine kwa ajili ya kusaga mabunzi ya mahindi ili yatumike kwa chakula cha mifugo anijulishe.
Habari! Naomba wa msaada wa anaejua wapi naweza kupata au kuchongesha mashine kwa ajili ya kusaga mabunzi ya mahindi ili yatumike kwa chakula cha mifugo anijulishe.
K king90 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 368 Reaction score 221 Feb 8, 2016 #2 Nenda sido mkuu wanaweza kukusaidia
paramawe Senior Member Joined Apr 13, 2013 Posts 151 Reaction score 24 Feb 8, 2016 Thread starter #3 king90 said: Nenda sido mkuu wanaweza kukusaidia Click to expand... ahsante sn