Msaada: Mabasi yaendayo Songea

Msaada: Mabasi yaendayo Songea

MwanaSaikolojia

Senior Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
197
Reaction score
62
Habari zenu wakuu.

Nilikua naomba mnifahamishe kwa anayejua mabasi gani mazuri yanaoenda Songea.

Tips:
-Yawe classic
-Safety .

Natanguliza shukrani.
 
Superfeo ndio king of Dar-Songea. Ni Yutong 2 by 2. safe, comfortable, hutajutia unless otherwise.
 
Well said mkuu, ongezea na refreshment pia wanatoa.

Asiwe na wasiwasi kuhusu simu yake kuishiwa chaji, kikubwa awe na USB yake chaji ipo.

d15645171a28430c8e67ad7db153bfee.jpg

Chaji kwenye siti yako

1bacf1570d668cd5d156bdb11624e4d8.jpg
 
Super feo ni classic hasa bus namba moja unaweza kucharge simu kwenye siti na wana WIFI free, Bus namba 2 na 3 ni youtong, New force ziko fresh zile Zhong Tong ila siti zake honest zinaumiza na safari ya songea ni ndefu na inachosha
 
Thanks ..naenda ku book tiket Super feo .
 
Super feo ni classic hasa bus namba moja unaweza kucharge simu kwenye siti na wana WIFI free, Bus namba 2 na 3 ni youtong, New force ziko fresh zile Zhong Tong ila siti zake honest zinaumiza na safari ya songea ni ndefu na inachosha

Huduma ya Wi-fi sidhani mkuu, hivyo vingine nakubaliana na wewe.

wiki iliyopita nimetoka Songea-Dar na SuperFeo bus no 1.
 
Superfeo ili upate bus namba moja uwahi siku mbili kabla kukata ticket
 
Huduma ya Wi-fi sidhani mkuu, hivyo vingine nakubaliana na wewe.

wiki iliyopita nimetoka Songea-Dar na SuperFeo bus no 1.

Mkuu bus namba moja ni lile lenye rangi ya mbeya city ndo linahiyo huduma ya kucharge Yale mengine hayana
 
Habari zenu wakuu.

Nilikua naomba mnifahamishe kwa anayejua mabasi gani mazuri yanaoenda Songea.

Tips:
-Yawe classic
-Safety .

Natanguliza shukrani.
Nyi watu mnaosafiri kwa mwaka moja manazinguwa sana!
Ngoja uwe una mishe za kutosha afu unatakiwa uitafute Dar kupitia Tunduru ndo utajuwa
mwanamke huwa analipa nauli kubwa kuliko mwanaume!
 
Na huyo jamaa nyuma ya basi anafanya nini? Anacharge simu?

hahbhaha, hapo ni kitonga kama unapafahamu tulikwama mkuu. kuna ajali ya lori lilidondokea bondeni.

charge zipo ndani ya gari katika seat unayotazamana nayo. Nimepandisha picha jaribu kupitia posti za nyuma.
 
SUPERFEO yenye USB Na WiFi ni HIGER siyo Yutong

Yeah ni kweli ndo maana nilimjibu aliyesema hayana WIFI kua lile lenye rangi ya mbeya city (purple) ndo linahiyo huduma na mara zote wanaliweka namba moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom