msaada: maana ya poke katika facebook

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
waungwana hebu nieleweshe hili neno poke katika facebook huwaga linamaanisha nini na mtu akiku poke alaf ndiyo inakuwaje?
 
poa san mkuu kidogo nimepata picha
 
Samahani sana kwa kuingilia mada!

Nami napenda kuelimishwa neno "tag" nini maana yake naliona sana hasa hapa JF
 
waungwana hebu nieleweshe hili neno poke katika facebook huwaga linamaanisha nini na mtu akiku poke alaf ndiyo inakuwaje?

Unajua watu wengi wanajua hizi tabia za mitaani zipo Africa tu, kumbe sio kudhihirisha hilo kuna neno 'poke' ambayo kama alivyosema mchangiaji wa mwanzo ni hile hali au kitendo cha kumsuta flani hivi au wengine wanaweza sema kuzodoa, lakini kwenye facebook haijakaa kiugomvi ila ni kama kaburudani flani hivi, na ukiona someone kaku'poke' we unatakiwa kum'poke back' namna hiyo...Naomba kuwasilisha Mkuu!
 
Poke
kupata attention ya m2
its just like "hey whatsup??"
nae anarudshia
"fine men"
lkn hayo maneno sio kwamba eti unaandka no!
Uksha bonya 2 hcho k2fe cha poke tayar utakua umeisha mshtua mwenzio
mfano #2
wajita hustua kwa lugha yao "yego" au wahaya "iwe"
nae mwenzie anajbu hvyo hvyo "yego" au "iwe"
na ktk facebook hyo ndo lugha yetu
#sayay theComput3rGUY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…