Msaada: Maana ya ndoto hii

Acha niseme yangu ya leo ni kali.

Nsha maliza shule na nimekua na vyeti vyangu.
sasa nimeota Matokeo yangu ya. chuo yametoka yamwbandikwa departmement sasa nikaenda kuyaangalia mara nakuta jina langu silioni katika kuangaza hapa na pale nikaonda karatasi chini imefukiwa kama na udongo hivi nikagundua ni barua nagalia vizur naona jina langu na la rafiki yangu mmoja hivi tulimaliza nae.
Barua kuisoma naona imetoka kwa Undergraduate director inasema kwamba mm na huyo rafiki yangu tulifeli sana tuna below nyingi Mojawapo ikiweko HESABU (MTH) kwahiyo tunatakiwa turudie mwakani na pesa ya hesleb imekuwa canceled.
Sasa nilipata kiwewe sasa katikati ya icho kiwewe my consiousness ikanza kupate network alert, sasa najiuliza bado niko ndotoni inaezekanaje barua hii wakati na cheti na transcript zote nesign na nimesha chukua, gafla. nikakumbua hata nilipo viweka gafla my consiousness mind ipkapata full control nikajua hii ni ndogo kujua hivo tu nikastuka( hii ndoto virtual reality yake iko very storng kama kwel vile).
HAIJAISHA
Nilivyo stuka nikajua hii ndoto lazima niko attacked underworld nikasali mtumish wa Mungu😊.
Sasa kakika 15 hivi mbele nikapitiwa na usingizi Nikaota tena niko na mtu ambae sula yake sikuiona (subvonsiously na mjua lakin consiousness simjui wenda ndo adui yangu) nilikuwa napiga nae story fulani sizikumbuki ghafla nikawa na manati mkononi mbele kulikuwa mti mkubwa juu kukawa na NDEGE KASUKU WA BLUE(Blue parrot).
Sasa mwanzo nikaanza na mpiga kwa mbali na manati huku napiga story na yule mtu, sasa ghafla ni ka mwambia yule mtu ebu niache ni msogelew yule ndege kwa karibu ni mpige nika msogelea kwel nika mpiga na ile manati mgongoni akaangua akafa nikastuka nikasema am WON😂 sasa sijui venye kuliendelea huko ulimwenguni.

Mshana Jr
Rakim
 
Mimi pia hunikut tofauti yan kam nikistuka mida ya alfajir kam saa 10 kuanzia hapo afu nitoke nje usingiz ukatok na nikirud ndan kulal tena naota ndoto ambayo ikij kiuhalisia inakuj inversely proportional ( kinyume ) chake nakile nilicho kiota
Venus Star akisema ukiamka sa 9 alfajili ukaa kama nusu saa ukalala tena utaota ndoto ya uhalisia
 
Ndoto za upo shule , wakati umeshamaliza longtime nadhani , zina-relate na kuwa Katika ugumu Fulani wa Maisha

Sema sio kila Mwanamke anayekwenda bar ni Malaya.
 
Hapo umeshinda baba. [emoji2][emoji119]
 
Kuna ndoto nimeota usiku wa kuamkia leo, kwakweli najiuliza maswali mengi na sipati majibu. Na haijawahi kutokea before.

Nimeota natembea (Sio porini) lakini cha kushangaza njiani nikawa nakutana na nyoka waliokwisha uliwa, yaani napiga hatua moja ya pili nyoka hawa, yaani ni kama njia nzima wamezagaa nyoka waliouawa.
Hivyo ikanilazimu niwe natembea kwa tahadhari ili nisikanyage nyasi ama vishimo (kulikuwa na vishimo vidogo vidogo) kwa kuhofia kunaweza kukawa na nyoka walio hai wasije nidhuru.

Naombeni msaada wa ndoto hii.
 
Aise hii mimi inanikutag pia ila siyo mara kwa mara .. nazan mara mbili tok nizaliw nimewah ota hii ila mimi naon kabis nyoka wako hai wanatembea afu nipo msitun na wenzang ko unakut unatembea kwa tahadhal wasi kuume ...na ndoto inaishia nikishafanikiw kutok msitun tunakimbia nay ndot huish pale pale
 

Aisee, mie ndo mara ya kwanza kutokewa na hii ndoto.
 
Venus Star akisema ukiamka sa 9 alfajili ukaa kama nusu saa ukalala tena utaota ndoto ya uhalisia
Aah iv kmbe.?[emoji848] afu mm kweny ndoto nikiota labda ntafeli ikija kiuhalisia nakuta nafaul au nikiota kitu kingin .. kinakuj kinyum ya ile ndoto
 
Mh
 
Usisimulie ndoto kama hizi kwenye kadamnasi mkuu.Dunia ni kama pori wengine wawindaji wa nafsi.
 
Usisimulie ndoto kama hizi kwenye kadamnasi mkuu.Dunia ni kama pori wengine wawindaji wa nafsi.
Mama kama ni mama mzazi ni kama kumwona Mungu, maana ukiacha Mungu kuumba mama ndio anaewakilisha uumbaji wa Mungu duniani.Amekwambia kwenye maisha matatizo ni kawaida.
Kuna misukosuko ya kiasili au ya kiungu ilipata kutokea au itatokea.Kuna jambo linamhusu mkeo lakini hamlijui ndo maana baadae humwoni anakupotea.Mji mwingine ni ishara ya dhoruba inayosababishwa na watu ambao si jamaa zako yaani ndugu.
Mvua ni dhoruba ila nguvu kuu za kikarama zimekuepusha kama zilivyokuepusha kwenye dhoruba ya kwanza.Mti mkubwa kukudondokea ni Mtu mkuu aliyetaka kukudhuru au kukuponza, umemzidi lakini jiwe ni jaribio jingine la mtu mbishi na mkatili Mungu akakukwepesha tena.
Mwisho mama akadhihirisha tena ndie alikuzaa na ndie mwenye haki na yanayokuhusu, na si vinginevyo.Mwanamke anawakilisha jambo jema lakini lenye vikwazo vya kiuadui na chuki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…