Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 36
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitatizwa na maana ya neno mapenzi. Utakuta mtu akisema amefanya mapenzi na ......... Kwa ufahamu wangu, kufanya mapenzi na mtu ni kwa yule unayempenda tu. Sasa kwa wale wanaokutana kwa mara ya kwanza usiku wakavunja amri ya 6 tena gizani bila hata kuonana vizuri sura zao, nao wamefanya mapenzi?