SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
Naombeni msaada kilielewa hili neno "Cookies" kwa upana hasa kwenye kwenye internet , n.k
😂😂😂😂😂Mimi huliona ona tu ila nahisi ni mapishi
Ni mapishi mazurimazuri kama Biriani.Naombeni msaada kilielewa hili neno "Cookies" kwa upana hasa kwenye kwenye internet , n.k
'Cache' kwenye internet yenyewe ni kuhifadhi content ya webpage nzimaNa catches
cookies ni small piece of data ambazo zinahifadhiwa kwenye browser,,Naombeni msaada kilielewa hili neno "Cookies" kwa upana hasa kwenye kwenye internet , n.k
Mwenzio anataka kuelimisha ili aondokane na ujinga halafu wewe unamwambia aendelee tu kuwa mjinga maana kwako wewe ujinga ni lifestyle.Kama huki2mii achana nacho usiumize kichwa kufkiria jamb dogo na likakrudsha nyma wakat kuna vng na vyenye msingi. #i thnk zile nyngne unajuw wht they mean.!?
Shukran sawa kwa uungwana na ustaarabu wako , nimeelewa sanaaina nyingine za cookies ni hizi hapa
1.Session cookies
hizi zinakuwa temporary ukifunga browser nazo zinajidestroy
2.Peristent cookies
hizi zinahifadhiwa hata kama umeclose browser,kwa mfano ukilogin kwenye website yoyote ile utaona kwenye browser yako(chrome,firefox) remember me
hizi persitent cookies zinatumika kuhifadhi hizo log in information zako,,so hautaitaji kulogin tena wakati mwingine ukifungua browser.....
pia cookies zinatumiwa na hackers
pamoja mkuu ,,Shukran sawa kwa uungwana na ustaarabu wako , nimeelewa sana
Cookies ni vi-files vinavyowekwa(saved) kwenye kompyuta yako kutoka kwenye website ambayo umetembelea au app mfano google, jf au insta nk.
Kazi yake ni kuchukua baadhi ya taarifa zinazuhusiana na mambo unayofanya mtandaoni au kifaa unachotumia.
Hii inawarahishia kukujua ww ni nani na mambo unayoyapendelea.
Kwa mfano ukiingia youtube kabla ya kusearch chochote utakuta video ambazo zina maudhui yanayoendana na mambo unayaangaliaga youtube.
Kutokana na sheria za europe kwenye upande wa internet, tovuti inatakiwa imtaarifu mtembeleaji kama wanatumia cookies na impe option mtumiaji ya kukubaliana na hilo ama la.
Hapa huwa kuna concept mbili ambazo zinahusiana lkn hazifanani nazo ni cookies na cachesNaombeni msaada kilielewa hili neno "Cookies" kwa upana hasa kwenye kwenye internet , n.k
Asante sana mkuu'Cache' kwenye internet yenyewe ni kuhifadhi content ya webpage nzima
mfano: kuna website zina multiple pages zenye namba 1 ,2,3,4,5,6,7...
ukawa unaclick izo namba then ukawa una press 'Back' kurudi namba iliyopita
unakuta page inaload fasta hata kama umezima 'data'
hapo tunasema page imekua 'cached', yaani ilihifadhiwa kwenye local storage ya browser yako