MSAADA MAANA HALISI YA "Cookies" kwenye internet ???

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,344
2,000
Cookies ni vi-files vinavyowekwa(saved) kwenye kompyuta yako kutoka kwenye website ambayo umetembelea au app mfano google, jf au insta nk.

Kazi yake ni kuchukua baadhi ya taarifa zinazuhusiana na mambo unayofanya mtandaoni au kifaa unachotumia.

Hii inawarahishia kukujua ww ni nani na mambo unayoyapendelea.

Kwa mfano ukiingia youtube kabla ya kusearch chochote utakuta video ambazo zina maudhui yanayoendana na mambo unayaangaliaga youtube.

Kutokana na sheria za europe kwenye upande wa internet, tovuti inatakiwa imtaarifu mtembeleaji kama wanatumia cookies na impe option mtumiaji ya kukubaliana na hilo ama la.
 
johnhance

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
758
1,000
Na catches
'Cache' kwenye internet yenyewe ni kuhifadhi content ya webpage nzima
mfano: kuna website zina multiple pages zenye namba 1 ,2,3,4,5,6,7...
ukawa unaclick izo namba then ukawa una press 'Back' kurudi namba iliyopita
unakuta page inaload fasta hata kama umezima 'data'
hapo tunasema page imekua 'cached', yaani ilihifadhiwa kwenye local storage ya browser yako
 
de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
623
1,000
cookies maana halisi ni sehemu ya data inayochukuliwa kutoka kwa mtumiaji katika website frani ambapo browser itasaidizana na website husika hiyo kutunza taalifa ama history ni kipi mtumiaji anapenda kutazama hasa pale una peruzi
 
Sauc

Member
Oct 12, 2018
36
125
Kama huki2mii achana nacho usiumize kichwa kufkiria jamb dogo na likakrudsha nyma wakat kuna vng na vyenye msingi. #i thnk zile nyngne unajuw wht they mean.!?
 
BOB OS

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,280
2,000
Naombeni msaada kilielewa hili neno "Cookies" kwa upana hasa kwenye kwenye internet , n.k
cookies ni small piece of data ambazo zinahifadhiwa kwenye browser,,
mfano unapo log in jf cookies zinakuidentify kama user x, ukifunga browser halafu ukafungua tena, cookies zitakuidentify ni yuleyule user x amerudi tena so utakuwa haina haja ya kulog in tena
....
cookies zinacontain information kuhusu wewe..
mfano mwingine ni tracking cookies hizo ni cookies ambazo zinakutrack,kwa mfano kitu ambacho umesearch google unatafuta mkopo ,,

unaanza kuona matangazo ya TALA na Branch😆,
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
9,957
2,000
Kama huki2mii achana nacho usiumize kichwa kufkiria jamb dogo na likakrudsha nyma wakat kuna vng na vyenye msingi. #i thnk zile nyngne unajuw wht they mean.!?
Mwenzio anataka kuelimisha ili aondokane na ujinga halafu wewe unamwambia aendelee tu kuwa mjinga maana kwako wewe ujinga ni lifestyle.
 
BOB OS

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,280
2,000
aina nyingine za cookies ni hizi hapa
1.Session cookies
hizi zinakuwa temporary ukifunga browser nazo zinajidestroy
2.Peristent cookies
hizi zinahifadhiwa hata kama umeclose browser,kwa mfano ukilogin kwenye website yoyote ile utaona kwenye browser yako(chrome,firefox) remember me
Image result for remember me firefox

hizi persitent cookies zinatumika kuhifadhi hizo log in information zako,,so hautaitaji kulogin tena wakati mwingine ukifungua browser.....
pia cookies zinatumiwa na hackers
 
SOKO LA MAGARI

Senior Member
Oct 26, 2014
103
225

Shukran sawa kwa uungwana na ustaarabu wako , nimeelewa sana
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
23,455
2,000
Mkuu umeelezea vizuri sana!
Cookies ni vi-files vinavyowekwa(saved) kwenye kompyuta yako kutoka kwenye website ambayo umetembelea au app mfano google, jf au insta nk.

Kazi yake ni kuchukua baadhi ya taarifa zinazuhusiana na mambo unayofanya mtandaoni au kifaa unachotumia.

Hii inawarahishia kukujua ww ni nani na mambo unayoyapendelea.

Kwa mfano ukiingia youtube kabla ya kusearch chochote utakuta video ambazo zina maudhui yanayoendana na mambo unayaangaliaga youtube.

Kutokana na sheria za europe kwenye upande wa internet, tovuti inatakiwa imtaarifu mtembeleaji kama wanatumia cookies na impe option mtumiaji ya kukubaliana na hilo ama la.
 
kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
739
1,000
Naombeni msaada kilielewa hili neno "Cookies" kwa upana hasa kwenye kwenye internet , n.k
Hapa huwa kuna concept mbili ambazo zinahusiana lkn hazifanani nazo ni cookies na caches

1)COOKIES NI data zako ambazo zinaandikwa kwenye browser, data hizi zinaisaidia website yyt ile kukutambua ww ni nani, kuhusu cookies naona wengi wameishaelezea hapo juu lkn kitu kingine cha muhimu kufahamu ni kwamba hizo cookies zinaweza kutumiwa kuiba passwords zako na authentification yako kwenye websites mbalimbali ambazo zinatumia cookies kupitia issue inayoitwa 'COOKIE HIJACKING'

kupitia hii cookie hijacking mtu anaweza kuingia kwenye account yako ya social media website bila idhini yako ww mtumiaji akishapata tu cookies zinazokuwa na authentification keys(data zinazokutambulisha ww ni nani unapoingia kwenye web yyt)

2)CACHES ni data za websites ambazo zinatunzwa ndani ya browser ili kufanya browser isirudie kuload the same data mara nyngi, kama walivyosema wengine hapo juu.

Cha muhimu kuelewa hapa ni tofauti kati ya caches na cookies caches zinabeba data za website na kuzitunza kwenye kifaa chako lkn cookies zinatunza data zako unazotumia kuview ile web(kama vle search, au username etc..) kwenye kifaa chako ili kukukumbuka next time.
 
T11

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
2,951
2,000
'Cache' kwenye internet yenyewe ni kuhifadhi content ya webpage nzima
mfano: kuna website zina multiple pages zenye namba 1 ,2,3,4,5,6,7...
ukawa unaclick izo namba then ukawa una press 'Back' kurudi namba iliyopita
unakuta page inaload fasta hata kama umezima 'data'
hapo tunasema page imekua 'cached', yaani ilihifadhiwa kwenye local storage ya browser yako
Asante sana mkuu

JF haiko cached ukizima data huendi mbele wala kurudi nyuma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom