Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,711
- 1,663
Habari za mda huu wana jf wenzangu,naomba kujuzwa juu ya hii huduma ya M-pesa master card.Je inakubali kutoa pesa kwenye card na kuweka kwenye paypal kama card zingine za malipo? kwa wazoefu wa hili maomba mnsaidie ndg zanguni.Je e-mail kwaida kui-link hyo card bila kwenda bank?.Asant
Kabla sijaenda huko kwa huduma kwa wateja hebu kwanza nielezeni hiyo kadi inapatikanaje?
Wasiliana na huduma kwa wateja wa vodacom
Weng hawajawah tena kuna mmoja haijui PayPal kakaWasiliana na huduma kwa wateja wa vodacom
Kwa hiyo siyo kama hii?Unaitengeneza kwa njia ya lipa kwa mpesa ila syo kadi ya kushikika ispokuwa unaata namba na tarifa muhimu za kadi