Ni used na unlocked toka usa. Inasumbua sana kwenye internet. Mpaka ni restart ndo inakamata na ikikaa muda inagoma hadi ni restart tena.
Tatizo ni nini? Natumia mtandao wa airtel
Nenda pale Midcom mikochen utamkuta muhindi 1 atakusaidia shida zako zote za hiyo simu tena bure kama gains shida ya hardware. Ata upgrade Kwenda window 8.1