nimegundua jambo moja usione wadada wazuri na ngozi soft ni vigumu mtu kukuambia anatumia nini
ila nikupe tu siri kidogo
kunywa maji mengi at least lita mbili kwa siku
sabuni tumia ya papai ,papaya zile origino ogea hizo na mafuta ya nazi
paka bio oil na lotion yoyote nzuri .igram,nova au yoyote tu maana ushasema una ngozi ya kawaida
miguuni paka glicerine na carrot