Wakuu naombeni kujuzwa duka
lenye laptop kwa wingi ili niwe na uchaguz wa laptop inayofaa
pia kama lipo lijulikanalo kwa bei afadhar kidogo na lile la bei ghali
Nenda sound and Vision (Benson) bei zao ziko powa sana, tena kuna Laptop kunzia TSHS 490,000/-, 550,000/-, hadi millioni kadhaa. Laptop zao zote ni mpya na zina warranty ya mwaka mmoja na ni laptop kubwa sio mini laptop. brand walizo nazo ni samsung,HP,compaq,Toshiba,Lenovo.
Watu wengi hawaamini kwa sababu jamaa walikuwa na bei kubwa , ila sasa wameamua kuvunja bei za laptop na vifaa vya IT.
Go and then give me feedBack. kuna piece kama 200 hivi kwa sasa.
galaxy computers ipo nyuma ya duka la Benson, barabara inayopandisha juu upande wa kushoto wa block ya benson..uhuru na Sound and vision nshapita zipo wap hizo duka nyingine?
uhuru na Sound and vision nshapita zipo wap hizo duka nyingine?
pitia Uhuru Computers, Compucat, au Galaxy Computers ,,
Wakuu naombeni kujuzwa duka
lenye laptop kwa wingi ili niwe na uchaguz wa laptop inayofaa
pia kama lipo lijulikanalo kwa bei afadhar kidogo na lile la bei ghali
Nashukuru nmezunguka kote ila nmevutiwa sana na Sound and Vision so kesho baada ya swala ya Ijumaa ntaenda kuchukua TOSHIBA ya 515,000
nipo arusha nauza lenovo t420 icore7 4gb ram nvidia graphics 500 gb disk space pm me