kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,493
AA Computers
Iko vizuri ILA PROCESSOR yake ina uwezo mdogo sana... Tafuta yenye duo core au zaidi... Celeron ni za wadada wanazitumia kuangalia movi...Wadau maoni yenu,, siko vizuri sana na hii mambo nahitaji nitumie kwa matumizi ya chuo,, naomba msaada hii mashine itafaa na ubora wake ukoje wajuzi wa mambo
Zed Air laptop
Ilife model 1406
Ram 3GB
Hdd 500GB + 32ssd
Prosesor, Quad core 2.2 ghz
Intel ceron N3035
Size inch 14
Other specs... Bt, cr, webcam, Wi-Fi
Bei nimeambiwa tsh, 499,000/= mpya dukani.
Je inafaa kwa matumizi ya chuo?
Ili ninunue?
Iko vizuri ILA PROCESSOR yake ina uwezo mdogo sana... Tafuta yenye duo core au zaidi... Celeron ni za wadada wanazitumia kuangalia movi...
Na kama unasoma engineering ukiinunua ndo umeumia...
Wadau maoni yenu,, siko vizuri sana na hii mambo nahitaji nitumie kwa matumizi ya chuo,, naomba msaada hii mashine itafaa na ubora wake ukoje wajuzi wa mambo
Zed Air laptop
Ilife model 1406
Ram 3GB
Hdd 500GB + 32ssd
Prosesor, Quad core 2.2 ghz
Intel ceron N3035
Size inch 14
Other specs... Bt, cr, webcam, Wi-Fi
Bei nimeambiwa tsh, 499,000/= mpya dukani.
Je inafaa kwa matumizi ya chuo?
Ili ninunue?
#ymollel mkuu wangu nashukuru kwa mawazo yakoHiyo computer ina processor hafifu ya CELERON, lakini kwa kuwa inayo SSD ina maana kwamba itakuwa bora kuliko computer ya namna hiyo isiyo na SSD. SSD ndio utaweka windows (OS) na kutokana na kwamba SSD ina speed maradufu kuliko HDD za kawaida basi utaenjoy sana speed nzuri. Ila kama utategemea kufanya vitu vizito kama vile GAMING basi haitakufaa, ila kwa mambo ya kawaida Kusoma, movies, Browsing, mambo yote ya masomo iko sawa kabisa. Ila sijajua Uimara wa hizi laptop za iLife.
Iko vizuri ILA PROCESSOR yake ina uwezo mdogo sana... Tafuta yenye duo core au zaidi... Celeron ni za wadada wanazitumia kuangalia movi...
Na kama unasoma engineering ukiinunua ndo umeumia...
ndivyo wajuzi wa mambo wanavyosema mkuuKwahiyo Duo Core ni kubwa kuliko Quad Core mkuu?
mkuu toa uzoefu wako hapaBenson & Company
Kwa Benson pesa Ni ndefu ila hautojutia na repair wanafanya waomkuu toa uzoefu wako hapa
#_mkuu Smokey D nakupata najaribu kuchekecha mawazo zaidi ndugu yang,,,Kwa Benson pesa Ni ndefu ila hautojutia na repair wanafanya wao
Nazani unapajua
Kuna maduka mengine ila yako chobingo Sana ntakupoteza