Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
Wakuu msaada tafadhali wa link niweze kuangalia mechi hiyo kupitia simu.
Mechi imeanza lakini hawa Mamelody wanaharibu soka ndani na nje ya SA. Wamepewa penati dakika ya 9 wamekosa lakini ilikuwa kituko. Hata Tatu Malogo hawezi kutoa penati ya kihuni namna hii.Wakuu msaada tafadhali wa link niweze kuangalia mechi hiyo kupitia simu.