Kwanza lazima ufanye conf za internet, Kama simu yako ni line 2 hakikisha ttcl umeweka kwenye sim card 1, na internet connection iwe ni ttcl na iwe on. Ukiswitch off data nayo inajiswitch offMoja kwa moja kwenye ombi, naomba kufahamishwa, nimenunua line ya TTCL (SIM card) mpya lakini haifanyi kazi na simu Samsung GT-E1207Y wala simu yoyote ya button, lakini line za makampuni menngine zinafanya kazi na simu hizo, kwa wale waliotumia line za kampuni tajwa mme experience the same prob pale mlipotumia huduma hiyo na solution yake ni nini?
Kwanza lazima ufanye conf za internet, Kama simu yako ni line 2 hakikisha ttcl umeweka kwenye sim card 1, na internet connection iwe ni ttcl na iwe on. Ukiswitch off data nayo inajiswitch off
Wasiliana na hawa direct msg watakusaidiaNimejaribu Mkuu lakini haiioni kabisa line hata kama nikiswitch on
Kama simu yako ni zile za promoshen ambayo sim card 1 lazima iwe ya kampuni ya simu ulikonunulia hapo haitafanya kaziNimejaribu Mkuu lakini haiioni kabisa line hata kama nikiswitch on
AmenNashukuru sana Mkuu kwa msaada wako, Barikiwa sana
Moja kwa moja kwenye ombi, naomba kufahamishwa, nimenunua line ya TTCL (SIM card) mpya lakini haifanyi kazi na simu Samsung GT-E1207Y wala simu yoyote ya button, lakini line za makampuni menngine zinafanya kazi na simu hizo, kwa wale waliotumia line za kampuni tajwa mme experience the same prob pale mlipotumia huduma hiyo na solution yake ni nini?
vipo visimu vya button vina 3g zinashikaKwa hiyo hizi line ni maalumu kwa smart phones tu
Samsung A200k,S5350,S5500,C3730cMake gani Mkuu