Msaada laptopt

Msaada laptopt

STALLEY

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
622
Reaction score
219
Msaada laptop yangu nikidownload softwares inadownload fresh ila niki open hazifunguki kabisa naomba msaada kwenye setting
 
kama software gani??isije ikawa unakosea kudownload au unadownload cnet badala ya io software
 
Nimejaribu mozzila imekataa kufunguka nimejaribu vlc nayo imekataa.afu tatizo lingine ni kwamba zinaji save kama temporary files kwenye pc
 
Back
Top Bottom