S sky_haf JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 220 Reaction score 23 Dec 3, 2012 #1 habari wakuu, kuna laptop yangu dell latitude d620, kioo kina mwanga tu na mistari, rang tofauti hakionyesh maandish mpaka niunge na screen nyengne. Tatizo ni nini? Msaada tafadhali
habari wakuu, kuna laptop yangu dell latitude d620, kioo kina mwanga tu na mistari, rang tofauti hakionyesh maandish mpaka niunge na screen nyengne. Tatizo ni nini? Msaada tafadhali
high vampire JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,941 Reaction score 2,183 Dec 3, 2012 #2 kioo kimekufa tafuta kingine