mbisom ramos JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 812 Reaction score 397 Oct 9, 2015 #1 habari..... wakuu laptop yangu..niliifanyia disc clean up...kutokana na low space....sasa ina wiki nikiiwasha inaandika QJDPS is compressed nimejaribu hata kupiga window imekataa tatizo itakuwa ni nn!?! naomba msaada kwa anayefaham
habari..... wakuu laptop yangu..niliifanyia disc clean up...kutokana na low space....sasa ina wiki nikiiwasha inaandika QJDPS is compressed nimejaribu hata kupiga window imekataa tatizo itakuwa ni nn!?! naomba msaada kwa anayefaham