Msaada laptop yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada laptop yangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by josephjul40, Aug 2, 2012.

 1. josephjul40

  josephjul40 JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Naomba msaada, natumia laptop dell d610. Juzi imekataa kuchaji betri mpaka sasa. Unapochomeka chaja umeme unatumika moja kwa moja hauendi kuhifadhiwa katika betri, huwa naenda kuchaj betri kwa jamaa yangu mwenye dell kama yangu. Nifanyaje ili huo umeme uweze kwenda ktk betri? Msaada please.
   
Loading...