mchushi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 216
- 98
WAKUU HABARINI,NINA LAPTOP YANGU AINA YA HP PAVILION G6 INA TABIA YA KUSTUCK NINAPOKUWA NAITUMIA NA INAANDIKA KWAMBA"Boot Device Not Found Install an Operating System on your Hard disk (3FO).......Na options nyingine za memory test na hard disk checking baada ya kuzifuatilia hizo checking inaniambia memory test ime pass lakini local disk check inasema SMART Check and Long DST are not installed......tatizo nini na nawezaje kulirekebisha?