Ahsante nimekupataPossibly laptop yako battery i.ekufa ama wakati inadondoka battery ili detach kutoka kwenye comp. Windows restore maana yake kulikuwa na uzimwaji wa comp ambao haukufuata utaratibu, hivyo kurun windows restore ni lazima vinginevyo mashine haiwezi kuwaka. Hivyo iruhusu ifanye restore inachukua kati ya dk 10 hadi lisaa kutegemeana na speed ya mashine yako
Mimi si mtaalamu hapo, ila shida kama hiyo iliwahi nitokea nikaambiwa shida ni drivers, nikamkabidhi mshakaji anayesomea hayo makitu akanirekebishia fasta.Mimi yangu Toshiba iliisha chaji Kama two weeks vizur tu baada ya kuitumia baadae ikagoma kuchaji nikajua ni adapter kuitest kwenye PC zingine inafanya kazi, na nikichukua adapter nyingine pia bado PC haipokei Moto...sijui hata tatzo ni nn?
Check betteryMimi yangu Toshiba iliisha chaji Kama two weeks vizur tu baada ya kuitumia baadae ikagoma kuchaji nikajua ni adapter kuitest kwenye PC zingine inafanya kazi, na nikichukua adapter nyingine pia bado PC haipokei Moto...sijui hata tatzo ni nn?
Alichofanya aliweka CD ya window akaanza kurepear window ,hili tatizo halihusiani na driverMimi si mtaalamu hapo, ila shida kama hiyo iliwahi nitokea nikaambiwa shida ni drivers, nikamkabidhi mshakaji anayesomea hayo makitu akanirekebishia fasta.
Sasa sijui alifanya fanyaje.
Siku nyingine Mkuu unaiba iba tuaidia kiainaMimi si mtaalamu hapo, ila shida kama hiyo iliwahi nitokea nikaambiwa shida ni drivers, nikamkabidhi mshakaji anayesomea hayo makitu akanirekebishia fasta.
Sasa sijui alifanya fanyaje.
Naomba ushauri nifanyeje, laptop yangu(Dell) nikiwa nimeishika naitumia ikakurupuka mkononi na waya wa power ukachomoka ikazima. Wakati naiwasha inaleta option ya ku repair window maana ukiwasha "start window normally" inaishia hapo inaload tu haifungui ndani. Haijadondoka kusema nilikua juu mpaka chini hapana maana ilikua juu ya miguu tu wakati nikiwa nimekaa sakafuni. Nifanyeje?? Maana hata nikibonyeza repair bado inakaa muda masaa hakuna kinachoendelea
Mimi nitajulia wapi hayo mkuu, cha msingi ilipona bila gharama basi nikamshukuru.Alichofanya aliweka CD ya window akaanza kurepear window ,hili tatizo halihusiani na driver
Mimi yangu Toshiba iliisha chaji Kama two weeks vizur tu baada ya kuitumia baadae ikagoma kuchaji nikajua ni adapter kuitest kwenye PC zingine inafanya kazi, na nikichukua adapter nyingine pia bado PC haipokei Moto...sijui hata tatzo ni nn?
Ingekua battery ingecharge sema haitokaa n'a chaji sasa hio haichaji kabisaCheck bettery