Msaada laptop yangu imekua nzito

dotdot

Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
75
Reaction score
19
Habar wana jf
Naomben msaada laptop yangu imekua nzito sana,pindi nikiiwasha tu inakua nzito sana siwez kufanya kazi yeyote.
 
ikiwa nzito ingia task manager uone inasomaje,

kuingia task manager bonyeza ctrl na alt na delete kwa pamoja au pale chini kwenye task bar right click kisha chagua task manager.
 
then baadae ya kufungua task manager, hatua inayofuata ni ipi?
ikiwa nzito ingia task manager uone inasomaje,

kuingia task manager bonyeza ctrl na alt na delete kwa pamoja au pale chini kwenye task bar right click kisha chagua task manager.
I
 
then baadae ya kufungua task manager, hatua inayofuata ni ipi?

I
utaona ram, cpu na harddisk na jinsi zinavyotumika.

mfano ukiona ram inafika 80% kupanda means unahitaji kuongeza ram au kutoa hizo apps zinazokula ram, same kwa hard disk na cpu.



sometime utahitajika kuclick more details kwa chini ya task.manager ili uone kwa ukubwa zaidi.
 
Mkuu Chief-Mkwawa
Naomba msaada laptop yangu dell inaanza kuwaka inaishia nusu haijazi kile kimstari inaishia hapohapo,
 
Ipunguzie mizigo itakuwa nyepesi
 
Pia unaweza angalia space ya hard disk, kama umejaza mavitu saana inakuwa nzito, check disc yenye OS au li disturbin kule na li empty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…