Msaada laptop yangu hairespond niki turnoff

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Hai respond kabisa nikiiturnoff hadi nichomoe waya wa adapter maana betri yake imekufa hivyo nikichomoa waya wa adapta inazima mojakwamoja,je tatizo ni nini na solution yake ni ipi maana ram yake ni 700MB na procesor ni 1.4 ghz
 
kwanza kabisa sijawahi ona laptop ina ram 700MB sa sijui hiyo yako ya wapi najua inakuwaga hivi 2,4,8,16,32,64,128,256,512,1GB nakadhalika.
Ila back to the topic kama mdau alivyo uliza watumia os gani maana nahisi tatizo litakuwa kwa os. Na je ukijaribu i turn off OS inaleta kitu gani?
 
Back
Top Bottom