Msaada laptop yangu haimalizi kuwaka

Msaada laptop yangu haimalizi kuwaka

Kama kichwa hapo juu kionekanavyo,nina laptop yangu aina ya Dell Latitude D630 nikiiwasha haimalizi kuwaka inaonyesha Giza tu,
Msaada wenu wakuu

sent by IPhone 6 using jamii forum app
Wakati inawaka press f8 then kuna ukurasa utatokea chagua start in safe mode baadae ikiwaka unaenda kufanya recovery,nipm nikusaidie zaid.

by emma mjasiriamali
 
Back
Top Bottom