Sasa mkuu hapo inakuwa ngumu kukutoa kwa tatizo lako unless uandae mfuko watu tuingie kazini tukutatulie hilo kama lah basi subiri wadau wengine wanawezakuwa na suluhisho la hilo ila kwa issue yangu cha kwanza nilitaka error msg inayotokea baada ya kutoa hard disk na kuiwasha maana machine hizo zina mbwembwe sana.
Piga window chini.....mi ninayo accer ilinizengua ivyo ivyo nikajaribu kurecovery but tatizo likawa pale pale kama umefanya partition format drive c drive d usiiguse kabisa na data zako zitakuwa safe kwenye d ila my document ndio zitapotea....accer zinamapozi sana ila motherboard zake za ukweli sana