wadau mashine yangu inazingua,kuna mda nikiizima inazima fresh ila nikiiwasha haiwaki na hata taa za mbele haziwaki hata kama nikiconnect power taa za power haziwaki indicating dat betri haichaj,kuna mda nikiwsha inawaka ila nikisha zma tu,kuja kuwaka majaliwa. mwny idea plz