Msaada:laptop to t.v cable

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
126
Reaction score
50
nimenunua waya wa avg na av cable
lengo nipate kuchomeka kwenye laptop output yake nipate kuiona kwenye t.v
lakini matokeo yake hamna kinachodisplay sasa naombeni msaada nini
nnilichochemka hapo maan kila kitu nimechoomeka sawa,natumia t.v ya chogo na laptop ni sony vaio,natanguliza shukrani
 
Inategemea NA sentings za window yako kama ujanunua waya yakichina ambayo ni feki.so jaribu kubofya f7 au f9.ikupatie hiyo img unayo taka mkuu
 
Nilishawahi kununua VGA to Component cable,nilipounganisha PC na Tv,no picture displayed. Nikarudi kusoma maelekezo kwenye kasha la huo waya,maelezo yakasema kuna waya hizo mara nyingi hutumia ku-hook up PC/laptop na projector, kwenye vyombo vingine kama tv, kuna uwezekano isifanye kazi. Ikawa imekula kwangu. Sasa hivi natumia HDMI cable tu,hivyo vingine picture quality mbaya.
 
Inategemea NA sentings
za window yako kama ujanunua waya yakichina ambayo ni feki.so jaribu
kubofya f7 au f9.ikupatie hiyo img unayo taka mkuu

nitajaribu mkuu lakini kwenye window 8 kuna sehemu ya second screen ndio nilipoweka hapo,lakini no gud result
 

hdmi cable si kwenye flat tu!!,mimi nahitaji ya t.v ya chogo
 
Nunua Chromecast hautahitaji tena hizo waya
 
Lakini inategemea na tv kama ina support na ina vga lazima ifanyekazi labda tv iwe nikimeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…