Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
Kitandani NA mezan mkuuUnavyotumia huwa inakuwa umeweka sehemu gani kwenye meza ama kitandani?
Poa mkuu!Inawezekana feni ya kupoozea jiko imekufa... Mwambie aifungue abadilishe feni. Am sure itaacha kuvuma...
VP NA mlango wa Cd sio kigezo cha ubora wa laptop?Inawezekana feni ya kupoozea jiko imekufa... Mwambie aifungue abadilishe feni. Am sure itaacha kuvuma...
Mlango wa CD sio tena muhimu kwa teknolojia ya sasa nani anatumia CD? CD zimekuwa replaced na USB au flash... Hata wakati hizi za CD zinaingia, tulikuwa tunatumia floppy disk, nazo zikaanza kupotea mpaka leo hakuna computer inatumia floppy disk...VP NA mlango wa Cd sio kigezo cha ubora wa laptop?
Vipi ikiwa kwenye meza huwa inapata moto hivyo hivyo?Kitandani NA mezan mkuu
Ahsante Chief.Mlango wa CD sio tena muhimu kwa teknolojia ya sasa nani anatumia CD? CD zimekuwa replaced na USB au flash... Hata wakati hizi za CD zinaingia, tulikuwa tunatumia floppy disk, nazo zikaanza kupotea mpaka leo hakuna computer inatumia floppy disk...
So teknolojia ya CD isikuumize kichwa. Hicho ni moja ya kiashiria kuwa hiyo laptop ni ya kisasa...
Ndio mkuu ila kitandan ndio sana ...mezan pia kuna wakat inapata sana moto NA kuna wakat mwingine sio sana kiviile...ila ukiigusa unai feelVipi ikiwa kwenye meza huwa inapata moto hivyo hivyo?
Nimekusikia mkuuMini laptops huwa hazina mlango wa cd. Zinatumia external cd drive... inawezekana ya kwako ni mini. Pia usipende kuweka laptop kitandani inakuwa haipoi vizuri, betri haitakuwa na maisha marefu pia
Manufacturer; Hawlet...... Processor;intel(R) core(T) i5 CPU M 450@2.53Ghz....RAM 6gb....system type 64 bit operating system ...,1. pc ikipata joto kubwa sana inajizima au kujishusha clock speed
2. joto sio kubwa kama halijazidi kiwango ambacho manufacture amekisema hata kama wewe unaliona kubwa.
angalia hio pc ina cpu gani? nenda mycomputer halafu right click then properties nisomee jina lake.
hii cpu inavumilia hadi nyuzi 105 CManufacturer; Hawlet...... Processor;intel(R) core(T) i5 CPU M 450@2.53Ghz....RAM 6gb....system type 64 bit operating system ...,
Thanks Chief.hii cpu inavumilia hadi nyuzi 105 C
tafuta software ya kupimia joto uangalie laptop hio, mfano wa hio software ni kama HWMonitor idownload hapa
HWMONITOR | Softwares | CPUID
pia fahamu hio ni generation ya kwanza ya i5 zina joto sana hizo cpu na zinatumia umeme mwingi.
Poa mkuu...shukranUkiweka kitandani lazima isumbue weka juu ya meza na kama ni mpya huenda itakuwa sawa soon. Iwashe alafu iache masaa 24 uone kwanza kabla siku saba hazijafika