Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,504
- 14,218
Asanteni sana mmenisaidiaCkia keanza kabisa toa betri na charge hapo, alafu uwanze kujaribu kitu kimoja kimoja
1 chomeka charge kwanza kwenye laptop ikiwa hakuna betri uwangalie kuwa charge yako kuwa inatisha moto au kuchaji vizuri
Ukishaliza hapo sasa unakwenda hatua ya pili
2 hatua ya pili ni kweka betri kwenye laptop yako unajaribu kuchaji kama uvyo charge cm yako ya mkononi. Je nikicharge betri yake inakaa muda gani
Hapo utapa tu jibu nikitu gani kibovu
Nunua adapter nyngne ndo imeharibika......
Kwa kuthbtisha chkua adapter nyngne uweke itachaji kawaida..........
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
Asanteni sana mmenisaidia
Vip mkuu mbona umewahi sana kumuuliza kama tayari kafanikisha,unataka akutoe japo ka vocha niniUmefanikisha mkuu...........!!!!
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
Vip mkuu mbona umewahi sana kumuuliza kama tayari kafanikisha,unataka akutoe japo ka vocha nini
Yupo anaufanyia kazi ushauri alopewavp mkuu,imepona hilo tatzo pc ako? mana ninayo yang pia ina matatzo kam yako.msaada kam imepona
Tatizo lipo kwenye Computer yenyewe(Circuit board)...hiyo ni dalili ya kwamba kuna chip imepiga shoti..ndio maana chaji haiwezi ingia.Laptop yangu nikichomeka waya wa chaji Ile indicator ya chaji inawaka nakuzima na chaji haingii, tatizo hili limeanza muda sio mrefu ilikuwa inachaji vizuri nashindwa kuelewa tatizo litakuwa kwenye charger, betri au laptop yenyewe
Mwenye kujua msaada tafadhari
ah ngoja tumsubir alete feedback ili tujue nasis tunasolve vp zetuuYupo anaufanyia kazi ushauri alopewa