Msaada: Laptop ina type yenyewe bila mtu ku place key

Mac Book Pro natoaje betri sasa!!maana hii solution ya Zima na toa betri
 
Safisha keyboard imeingiwa na uchafu kwa hiyo kuna keys zinanatia chini na kusababisha typing
 
Chakufanya uwe unaongea kwa sauti kitu unachotaka ku type na ita type yenyewe. Imekuwa automatic sio manual tena,hongera
 
Back
Top Bottom