Duuh kumbe hauko Entebbe?kama wewe si mtaalamu check na mtalaam akusaidie tafuta mtu anayefanya kazi ya IT,unajua street pagumu so ukienda vibaya kila mtu atakwambia ni fundi then ataharibu.
Jaribu ukiiwasha sikiliza kama feni inazunguka baada tu ya kuwasha,je inazunguka then inazima?Kuhusu kwamba inawezekana ina pata joto sana angalia ikizimika lile eneo yalipo matundu ya feni ni la moto sana au hakuna excessive heat eneo lile.
Epuka ushauri wa bure,just do whatever you are told at your own risk.Fanya hizo simple test then tupe mrejesho nyuma.