Msaada laptop hp palivion 15-n001sx

Msaada laptop hp palivion 15-n001sx

Sangoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
344
Reaction score
165
Habari za majukumu wakubwa natatizo kwenye laptop yangu ya hp palivion 15-n001sx nilikua na update driver za bios kwa bahati mbaya laptop ikakata moto kabla haijamaliza kuinstall umeme ulipo rudi na kuchaji laptop nilipo iwasha inawaka lakini screen inabaki black nimejaribu kutoa betri pamoja na ram na kuvirudishia lakini bado laptop imeendelea kuwa ivyo hivyo mwenye kuweza kunisaidia juu ya ilo plz anisaidie kwani huku nilipo niko mbali na watalamu wa mambo kama haya
 
Back
Top Bottom