Kibosho kwetu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 215
- 85
Wandugu laptop yangu hp mini Intel Atom(R)@1.66GHz 1.67GHz ram 2GB tatizo nikiwa naangalia movie ikifika kati sauti inatangulia kabla ya kitendo kufanyika.nimeupdate vlc.media player.gom lakini tatizo bado