the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Chagua moja kudondosha hiyo window au ku download driver za Wi-Fi za pc yako na uwe makiniHabarini za asubuh .
Natumia laptop ya dell nimeinstall windows 10 kwa kutumia usb device(flash) tatizo laptop sasa inapokea signal za wifi kutoka kwenye any windows phone only nikiconnect kwa simu za android au wifi ya ofisini inaconnect but no network inaweka alama ya njano kwenye signal bar ya network na hata usubiri masaaa still inabaki hivyo hivyo ila windows chap inapokea ,kabla ya windos ten kuweka nilikua nimeweka windows seven na kila kitu kilikua safi,nambeni msaada wenu nitatue tatizo inanitesa na kazi nyingi zinalala.
Natanguliza shukrani ,Ahsanteni
Okay nitajaribu then nitaleta mrejesho ila nilijaribu ku update kwa automatic search nikapewa file nikadownload na ikainstall vizur ila bado tatizo liko pale pale ,nitapitia dell website yao nidownload ,ahsantejaribu kueka official driver za wifi na sio hizo generic za win 10. nenda website ya computer yako kudownload driver
Kaka ahsante ngoja nipambanie hilo likishindikana nipige window chini maana inanifanya nashindwa kua active kazinChagua moja kudondosha hiyo window au ku download driver za Wi-Fi za pc yako na uwe makini
Mi naingia dar now naitaji kuchukua pc yene uwezo wa kufanya graphic nipe maelekezo na laki 4jaribu kueka official driver za wifi na sio hizo generic za win 10. nenda website ya computer yako kudownload driver
PambanaImegoma itabidi nibadili tu window no way out
Nimeupdate ila hamna kitu bado inagoma ndgChagua ku update windows au ku update drivers kwenye pc yako
Nimepambana mpaka sielew bado inagoma ndg ,hata sielew aisePambana
Natumia dell inspiron mkuuUnatumia pc aina gani