Fungua control panel kisha chagua "Hardware and Sound" halafu "AutoPlay" kila sehemu kwenye hizo option weka "Ask me every time" halafu save, karibu kuona kama haitaonekana, kama haitasoma kutakuwa na tatizo la driver za cd rom na solution ni kufanya update ya driver