msaada kwenye Wireless hacking

msaada kwenye Wireless hacking

"CommView for WiFi" ni kwa ajili ya kucapture packets....then baada ya hapo unafanya decryption ya hzo packets kwa kutumia aircrack ng(kumbuka kuupdate driver husika kama itakutaka kuupdate)...
 
Inategemea sana na aina ya encryption inayotumia, WEP ni rahisi cucrack ila WPA2 yenye password nzuri ni next to impossible.
 
icje ukawa unataka kuhuck wi-fi yangu. we upo wapi ndugu
 
paswd tena mkuu wakati uku nalalamika wanamaliza mandle hawa washenzi
 
msaada wananchi nahitaji kupata linux OS,Pamoja na backtrack5 software....any ideas for help?
 
msaada wananchi nahitaji kupata linux OS,Pamoja na backtrack5 software....any ideas for help?

Linux ni bure kabisa nenda kwenye website yao download .. google ubuntu au linux mint ndo nazijua na kuzikubali .. inachukua maxmum kama gb 1 hivi au pungufu kama windows xp vile .. au ntafte nipo msasani
 
na vipi kuhusu kuhark wi fi kwenye simu unafanyaje
 
Back
Top Bottom