Msaada kwenye window 7 ultimate

KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,554
1,920
Samahan wakuu,Natumaini mu wazima wa afya, nimejisahau nika activate window, sasa mda wote laptop ni black screened with the message Build 7600 this window is not genuine, nimejaribu activation keys kutoka kenye mtandao karibu zote nilizopata zimefeli, naombeni msaada wakuu. Heshima kwenu.
 
bonyeza "Start"
andika "cmd"
ikitokea right click halafu chagua "run as administrator"
andika "slmgr" acha nafasi halafu andika " -rearm"
bonyeza Enter.

ipe muda kidogo halafu exit.

baada ya hapo restart pc yako, mchezo kwishney.
 
tafuta window 7 bootloader
 
naweza ku download mkuu maana nimejaribu siipat, npo bush kidogo
 
bonyeza "Start"
andika "cmd"
ikitokea right click halafu chagua "run as administrator"
andika "slmgr" acha nafasi halafu andika " -rearm"
bonyeza Enter.

ipe muda kidogo halafu exit.

baada ya hapo restart pc yako, mchezo kwishney.
asante technician, ngoja nijaribu
 
MR. ABLE baada ya slmgr ni -rearm au rearm?
 
MKUU MR. ABLE, WEWE NI IT GURU, KWISHA KAZI, MASHINE IMEPONA, UBARIKIWE SANA MHESHIMIWA, YAAAAAAAAAANIIIII.............BAS TU AISEE, thanks again.

Ok! usijali nakili njia hii na siku nyingine uwafundishe na wengine.
Usiwe mchoyo wa elimu.
 
Nimeichukua hiyo, nitumie notsi(pdf) kabisa nikawe mwalimu mzuri

Hakuna cha notice hapo, akili kumkichwa, unachotakiwa kufanya ni kuhifadhi hizo procedures kwenye simu yako as sms in drafts or outbox.
Au kama unatumia pc, save hii page.
 
Chief, mr ABLE, nashukuru nimeitumia hiyo njia kwakuwa nilikuwa na tatizo kama hili. sasa ile black screen haitokei tena wala yale maneno wndows not geniune hayatokei lakini niki-right click my computer na kwenda kwenye properties naona pale chini kitu kama message ya kunitaka ku-activate windows, mwanzo ilisema 3 days ikaja 2 days leo inaonesha 0 days left before automatic update; hii ina maana gani mkuu?
Pamoja sana mkubwa endelea kuipenda na kuithamini JF
 
Chief, mr ABLE, nashukuru nimeitumia hiyo njia kwakuwa nilikuwa na tatizo kama hili. sasa ile black screen haitokei tena wala yale maneno wndows not geniune hayatokei lakini niki-right click my computer na kwenda kwenye properties naona pale chini kitu kama message ya kunitaka ku-activate windows, mwanzo ilisema 3 days ikaja 2 days leo inaonesha 0 days left before automatic update; hii ina maana gani mkuu?

Mkuu anjnr jaribu hii key kabla haijaaleta windows is not genuine

22TKD-F8XX6-YG69F-9M66D-PMJBM

Feedback is very important na vipi kuhusu Ndoa yangu imekaa fresh
 
Last edited by a moderator:
asante sana mkuu njunwa wamavoko, nimeijaribu hiyo key, inaniletea error, labda nakosea procedure, nimeenda kwenye change product key ndo nikacopy hiyo. asante ile nyingine ilikaa vema (ndoa yangu)
 
DOWNLOAD HII PROGRAM.
l

1.install kwa key hizi 22TKD-F8XX6-YG69F-9M66D-PMJBM ikikataa install bila key itakubali.

2. Run loader itakata kiherehere cha hiyo msg kujirudia kila mara.

Back
Top Bottom