mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
habari za jioni wakuu, poleni na kazi, natumia samsung galaxy 5 (s5) tangu jana simu yangu imekumbwa na tatizo la kuwaka wi-fi automatic. naomba mnisaidie jinsi ya kuondoa hilo tatizo
jaribu kudownload 3rd party apps za kuZima wifi playstore wakati unatafuta tatizo limeanzia wapi. search wifi off playstore