Msaada kwenye usajili TCU

Msaada kwenye usajili TCU

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
657
Reaction score
548
Wakuu nimefanya second round kwa bahati mbaya nikachagua chuo ambacho sio sahii; nawezaje kubadilisha ili nichague chuo kingine?
 
Kwani hakuna option ya kubadili? Ebhu jaribu kuclick "make 2nd round app"
 
jaman naomben msaada, 1s round nilichagua duce bachelor of scince with education kama chaguo la pili ila jana majina ya ambao hawakupata yalipotoka na langu lipo lkn nashangaa duce bado haijajaa,mm ni pcb,performnce ni DCB respectively
 
Mbona ktk list ya vyuo vyenye nafasi duce haipo ila mwaka huu competition ilikuwa kubwa mno mfano education ud walijaza watu zaidi ya 2800 na capacity haifiki 1200
 
jaman naomben msaada, 1s round nilichagua duce bachelor of scince with education kama chaguo la pili ila jana majina ya ambao hawakupata yalipotoka na langu lipo lkn nashangaa duce bado haijajaa,mm ni pcb,performnce ni DCB respectively
mkuu we chagua tu kingine fasta kabla na vingine havijajaa
 
mbona mm kwenye list naiona duce mkuu?niki click kwenye 2nd round naiona duce ipo,hapo inakuaje?alaf saiv cas inazingua haifunguki tena
 
we jamaa unaoiona duce unatmia darubin gan mkuu,duce mbona haipo kabisa 2nd round..
 
Mjinga sana wewe dogo unashindwa kuwa makini na mambo muhimu yanayo kuhusu kama hayo...wakupigwa makofi kabisa wewe
 
Back
Top Bottom