Mm kwa ushauri wangu nikushauru ukitaka kununua pannel nzuri ya solar nunua pannel yenye ile lebo inayoonyesha wtts za solar iwe ndani ya kioo cha pannel(isiwe imebandikwa kwa nje) pia kuhusu upande wa battery ambazo zina uhakika kidogo ni hz za maji dry wanachakachua sana uwe makini ukitaka kuchukua dry , taa nunua za dc za wtts 2, 3 na 1 mchanganyiko, kwa maana chumban weka ya wtts 1, seblen wtts 2 nje wtts 3 itategemeana na mpangilio wako,..cjajua flat screen unayotumia inakula moto kiasi gan, ila kwa haraka haraka nafikiri pannel ya wtts 180 au 200 itakufaa battery chukua ya ah 200, inverter tafta ya wtts 350. Mm nina pannel zinazo sambazwa na steps made in Germany ya wtts 120 na battery ya solar chloride oxide hz za maji zinazo tengenezwa Kenya, inverter ya 150 wtts,huwa nawasha flat screen inch 22 ambayo 2 in 1 (dc na ac), receiver ya king'amuzi,taa 2 za watts 1 @ 1,bufa ambayo ni DC na AC na laptop zaidi ya masaa 10 bila moto kuisha, huo ndo uzoefu wangu tusubiri wataalam zaidi waje.