most of the times uki uninstall program, huwa haitoki yote. ina acha settings na plug-ins ili next time ukitaka kuirudisha usipate shida. pia kuna programs zingine kama anti-virus ambazo zina acha registry files (registry files ni database ya windows ambayo ina store configuration settings and options za software na hardware). hiizi registry files sometimes huzuia kurudishia an uninstalled program coz windows hufikiri ile program bado ipo. kukimbiana na hii tatizo, inabidi udelete registry file za concerned program.
registry files ni complictated na nyingi, na kama we sio advanced programmer wa windows (advanced hata zaidi ya mafundi wengi hapa bongo) sio vizuri kujifutia .reg files coz unaweza corrupt windows yako. luckily kuna programs ambazo zinakufanyia hii kazi, best example ni ccleaner. ushauri wangu ni uinstall hiyo ccleaner uiache ikusafishie windows. baada ya hapo jaribu kureinstall idm tena